Thursday, 23 September 2021

BASATA KUWAKUTANISHA WADAU


 Kaimu Mtendaji Mkuu wa Basata Mniko amesema tarehe 29 mwezi9 2021 Wasanii watakutana kwenye makumbusho ya Taifa posta jijini Dsm kwaajili ya kujadili na kutatuwa Changamoto zinazowakabili  wasanii wa Tanzania .

Ivyo amewataka wasanii wa Aina mbalimbali kujitokeza Kwa wingi.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment