Tuesday, 28 September 2021

WAFAMASIA KUTEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI WA AFYA


 Methiyu Maganga ni Mfamasia Kwa niaba ya wenzake wanampongeza rais  Samia Suluhu Hassan Kwa utendaji wake mzuri wa KAZI kwani wanamuunga mkono Kwa asilimia 100 wafamasia wote.

Huku wakimuaidi Waziri wa Afya,Jinsia,Wazee na Watoto kuwa watatekeleza maagizo  na maelezo ya rais Samia Suluhu Hassan,Makamu wa rais Filipu Mipango,Waziri Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa na Viongozi wote wa serikali na yeye mwenyewe Waziri Dorith Ngwajima.

Habari na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment