Friday, 10 September 2021

MWENYEKITI TCCIA MKOA WA NJOMBE KUWAFUTA MACHOZI WAKULIMA WA PALACHICHI


 Menard Rafael Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Njombe amesema  kutokana na Kilimo cha wafanya biashara na wakulima wa zao la Palachichi TCCIA Mkoa wa Njombe wameamuwa kutafuta Masoko ndani ya nchi na nje ya nchi .

Lengo wanachama hawa wanufaike kiuchumi  amesema jitihada zinafanyika za kuanzisha Viwanda vya kuongeza samaani kwenye zao la Palachichi Mkoa wa Njombe .

Menard Rafael amesema wameweza kuwatafutia pembe jeo na wamewapa elimu wakulima wa zao la Palachichi . Huku akitoa wito kwa wakazi wa Mkoa wa Njombe kujiunga na TCCIA Kwa maslai makubwa na mapana kwaajili ya biashara zao na mazao Yao .

Na Mafunzo alioyapata yataleta chachu kwenye Mkoa wa Njombe amesema haya jijini Dsm.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment