Friday, 28 October 2022

WAZIRI WA MARIASILI YA UTALII AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

 Barozi Dr. Pindi Chana Waziri wa maliasili na utalii amesema sekta ya maliasili na utalii inachangia fedha za kigeni kwa asilimia ishirini na tanonaa ajira milioni moja na laki tano na inatoa mchango mkubwa kwenye pato la taifa hizi ni juhudi za raisi Samia Suluhu Hassan naye kaimu mkurugenzi wa chuo cha utalii amesema maono ya Samia Suluhu Hassani wanayafanyia kazi ndio maana wanamkutano wa kimataifa wa nchi nane.

Habari kamili

Ally Thabith

Tuesday, 18 October 2022

HEACA CHEF SPICES YAWAVUTIA WATU


 


HABARI PICHA NA ALLY THABIT

FARMERS CENTRE YAJA NA CHANJO KABAMBE KWA MIFUGO

 farmers center lengo lakutoa chanjo yao nikuoneza ubora wa mifugo ili vipato vya wafugaji vikuwe





Habari picha na Ally Thabit

RIDOCOX KUOKOA MIFUGO NCHINI

 RIDOCOX imeamua kuokoa na kunurusu vifo vya mifugo nchi Tanzania


habari picha na Ally Thabit

MKUZA CHICKS LIMITED YAJA KIVINGINE KWAAJILI YA MIFUGO



 HABARI PICHA NA ALLY TAHABIT

TROUW NUTRITION YAWATAKA WAFUGAJI KUWATUMIA

 trou nutrition yawataka wafugaji waweze kuwatumia kwani wanatoa huduma bora na nzuri kwaajili ya mifugo 



habari picha na Ally Thabith

MBUNGE VICTOR KAWAWA AWAPIGANIA WATU WENYE ULEMAVU

 Mbunge Victor Kawawa ameitaka Mwal. Nyerere Memorial House kuweka miundo mbinu kwaajili ya watu wenye ulemavu pamoja na lugha za arama na maandishi ya nukta nundu kwenye vipeperushi.




Habari picha na Ally thabit