Sunday, 31 May 2020

TLB IDARA YA VIJANA HAHA NA MIKAKATI KWAAJILI YA UGONJWA WA VIRUSI VYA CORONA

Kiongo Mratibu  wa Idala ya Maendeleo kwa Vijana na chipkizi TLB Taifa amesema wanasambaza vipeperushi vya Nukta Nundu vinavyozungumzia dalili na namna ya  kujikinga na virus vya CORONA  navitakasa mikono pamoja na barakoa Lengo watiwasio Ona wasiambukizwe virusi vya CORONA  Kiongo ametoa shukurani kwa WSSCC THDRC OSHA FCS NA TAYOA kwakuweza kuwaunga mkono chama cha TLB Kwa ali na mali


Habari picha na Ally Thabit

CHAMA CHA WASIO ONA CHETETA NA WSSCC

Katibu Mkuu wa Chama cha Wasio Ona (TLB) Emanuel Samweli wanaishukulu taasisi ya WSSCC kwa kutoa vifaa vya kujikinga na CORONA kwa watu wenye Ulemavu you nashukuru kuchapishwa vipeperushi vilivyoandikwa kwa mwandishi ya Nukta Nundu ambako itasaidia wasio Ona kutambua dalili na  namna ya kujilinda na kujikinga dhidi ya ugonjwa wa CORONA marimba taasisi ya WSSCC kuendelea kuwasaidia watu wenye Ulemavu
Habari picha na Victoria Stanslaus 

Saturday, 30 May 2020

MWENYEKITI WA SHIVYAWATA ABAINISHA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA WATU WENYE ULEMAVU WAKATI WA CORONA

Mwenyekiti wa shirikisho la watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) Humi KHAMISI amesema watu wenye Ulemavu kutokana na kuingia virus vya CORONA umeathiri watu wenye Ulemavu kiuchumi ambako imepelekea shughuri zao za kuuza chakula kuzorota kwa kiasi kikubwa nao watu wenye Ulemavu wanaoendesha bajaji kupinga kwa mapato yao na unashindwa kurejesha Mikopo Mwenyekiti Humi Namisi amempongeza Mratibu wa WSSCC  kwa kutoa msaada wa cha kujikinga na CORONA  kwa watu wenye Ulemavu


Habari picha na Victoria Stanslaus to

MRATIBU WA WSSCC ATAKA WENYE ULEMAVU KUSHIRIKISHWA KWENYE VITA

Mratibu wa WSSCC Mwandisi Eng Malima amesema katika vita ya CORONA watu wenye Ulemavu washirikishwe moja kwa moja katika kuandaa vifaa na vipeperushi mano kwawasio Ona vipeperushi  vya Nukta Nundu waandike wenyewe na walemavu wengine watoe mapendekezo ya namna ya kutengeneza vifaa vya kujenga na CORONA amesema aya wakati akikabidhi vifaa mbalimbali vya kukabiliana na ugonjwa wa CORONA kwa watu wenye Ulemavu Tanzania  Makao nauli ya SHIVYAWATA

Habari na Ally Thabit

MWENYEKITI WA CHAWATA ATEMA CHECHE JUU YA CORONA

Mwenyekiti wa CHAWATA Hamadi Komboza amesema mapambano ya CORONA  ayaitaji kubagua kundi lolote ivyo wameipongeza  Taasisi  ya WSSCC kwa  kutoa vifaa vya kujikinga na ugonjwa wa CORONA ambako chama cha walemavu CHAWATA kitawakabidhi waendesha bajaji wa Kivukoni ambao wenye Ulemavu wa viungo

Habari picha na Ally Thabit

PICHANI KATIBU MIMI WA CHAMA CHA WALEMAVU WA AKILI AKIPOKEA KITAKASA MIKONO

Katibu Mkuu wa Chama cha walemavu wa Akili Frances  Mashulo amesema kitakasamikono ichi alichopokea kitaenda kuwakomboa watu wenye Ulemavu dhidi ya CORONA


Habari picha na Ally Thabit

CHAMA CHA WALEMAVU WA AKILI WATOA NENO

Katibu Mkuu wa Chama cha walemavu wa Akili Frances Mashulo amempongeza juhudi za kupambana na CORONA dhidi ya watu wenye Ulemavu zinazofanywa na taasisi ya WSSCC ambako leo wamekabidhi baraka, ndio za kunawia mikono  na vitakasa mikono kwenye shirikisho la watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA)

Habari picha na Ally Thabit

Tuesday, 19 May 2020

WANA KINONDONI WATOLEWA OFU

Meha wa Kinondoni Beni Sita amewaambia wakazi wa Kinondoni Eneo la Kokobichi likikamilika wataluusiwa kufanya kazi bila matatizoyako

Habari picha na Ally Thabit

HALMASHAURI YA KINONDONI KULETA MAENDELEO MAKUBWA

Beni Sita Meha wa Kinondoni akiingia makubaliano ya Mradi wa MDP awamu ya tano na Wakorea kwaajili ya ujenzi wa barabara za Halmashauri ya Kinondoni ambako Beni Sita amesema barabara hizi zitasaidia katika kukuza Uchumi wa Kinondoni na watu Kuwait kwenye shughuri zao za Kila siku


Habari picha na Ally Thabit

MEHA WA KINONDONI AUNGA MKONO KWA VITENDO KAULI YA RAIS MAGUFULI

Beni Sita Meha wa  Kinondoni pichani akikagua Viatu vinavyoelezea na Ngozi huku akiwataka Watanzania kuanzisha Viwanda vya bidhaa za Ngozi amesema Ofisi yake inafungua Milango Kwa anaeitaji kuwwkeza Halmashauri  ya Kinondoni

Habari picha na Ally Thabit

CCBRT YAIPONGEZA SAWA (WSSCC) KWA KUNUSULU WATU WENYE ULEMAVU

Meneja wa Ushawishi na Utetezi wa watu wenye ulemavu kutoka CCBRT Fredrick Marthin Msigallah  amesema wameipongeza Taasisi ya SAWA kwakunusulu na kuwaokoa watu wenye ulemavu ili wasipate virusi vya CORONA Kwa kuchapisha vipeperushi vya Maandishi ya Nukta Nundu vinavyoelezea dalili na namna ya kujikinga na virusi vya CORONA Kwa wasio hona na makundi mengine ya watu wenye ulemavu amesema haya wakati akipokea Nakala ya Maandishi ya Nukta Nundu kwaajili ya kuwapelekea watu wasio hona waishio Kigoma kwenye Kambi ya Wakimbizi CCBRT imetoa wito Kwa wadau mbalimbali kuunga mkono juhudi za taasisi ya SAWA huku akimpongeza Mwandisi Eng Malima na vipngozi wenzake kwakuguswa na kubeba maswala ya watu wenye ulemavu



Habari picha na Ally Thabit

Friday, 15 May 2020

TAKUKURU YATOA ONYO KALI KWA VYAMA VYA USHIRIKA

Mkurugenzi wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Tanzania John Mbungo amesema vyama sita vya Ushirika wasipoludisha fedha hatuwa Kali zitachukuliwa Kwa Viongozi wao pia amewashukuru wananchi Kwa kutoa ushirikiano mpaka imepelekea kiasi cha bilioni 11.3 kupatikana ambazo zilifanyiwa ubadhirifu

Habari picha na Ally Thabit

TAASISI YA CHAKULA NA LISHE TANZANIA YAWAPA SEMINA WAHABARI

Mkurugenzi wa Elimu na Mafunzo ya Lishe kutoka
Taasisi ya Chakula na Rishe Sikitu Kihinga amesema wameamuwa kuwapa Mafunzo wanahabari Lengo kuwataka wawaelimishe wananchi matumizi ya Tangawizi,Vitunguu thaumu,habdalasini Malimao na matunda kutumia kwaajili ya kujikinga virusi vya CORONA Sikitu Kihinga amesema mamamjamzito na anayenyonyesha awawezi kumuambukiza mtoto virusi vya CORONA Taasisi ya Chakula na Rishe imetoa wito Kwa jamii kuwa viungo na matunda si dawa ya CORONA Ola vinasaidia kutoshambuliwa na virusi vya C

PICHANI MKUU WA MKOA WA DSM AKIJARIBU GARI ALIOKABIDHIWA NA KAMPUNI YA TATA


Mkuu wa Mkoa wa Dsmameishukuru Kampuni ya TATA Kwa kutoa gari ambayo itasaidia katika mapambano ya virusi vya CORONA Kwa kuwabeba Wataalam wa Arya  huku akiwataka Watanzania na wasio watanzania kununua magari ya Kampuni ya TATA kwani no Imara na yanaubora mkubwa uku akiwataka ofu wanaDsm maambukizi ya virusi vya CORONA vimepungua waendelee kuchukua taadhari amesema Aya kwenye makao makuu ya TATA


Habari picha na Ally Thabit

KAMPUNI YA TATA YAMUUNGA MKONO MAKONDA KWAAJILI YA KUPAMBANA NA CORONA

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya TATA amesema wameamuwa kutoa gari Aina ya TATA lenye thamani ya milioni 65 Lengo kuunga mkono juhudi la Rais Magufuli na mkuu wa Mkoa wa Dsm Poho Makonda katika kupambana na virusi vya CORONA ndio maana wametoa gari hii kwaajili ya kuwabeba Wataalam wa Afya


Habari picha na Ally Thabit