Tuesday, 25 January 2022

RAIS WA MAHAKAMA YA AFRICA MASHARIKI AFUNGUWA MAFUNZO

 Rais na Jaji wa Mahakama ya Africa Mashariki Nestor Kayobera amesema Lengo la kukutana na majaji wa tanzania kuweza kuwapa Mafunzo kuusu sheria za Africa Mashariki ivyo amesema Mafunzo haya yataleta chachu kubwa Kwa majaji wa tanzania kuzifaham na kuzielewa sheria za Africa Mashariki.

Nae Kwa upande wake THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA JUDICIARY OF TANZANIA HON.DR.GERALD A.M.NDIKA JUSTCE OF APPEAL amesema Mafunzo haya yamefika wakati muhafaka kwani majaji watanufaika Kwa kiasi kikubwa na yataweza kutatuwa mashauri ya Afrika Mashariki bila kikwazo.

Habari na Ally Thabiti

Monday, 24 January 2022

ADC YATANGAZA MGOMBEA USPIKA WA BUNGE


 Mwenyekiti wa Chama cha ADC Amadi Rashid amewataka wabunge wa Tanzania bila kujali Chama na hitkadi zao wamchague Maimuna Saidi awe spika wa bungea jamuhuri ya tanzania kwani anafaa na ana sifa za kuwa spika wa bunge .

Ana Shahada ya Utawara Bora na Uongozi Kutoka chip kikuu cha Udom,mwenyekiti wa ADC amewataka watu kutunza na kujilinda Amani iliyopo nchini Tanzania .

Habari na Ally Thabiti

MTENDAJI MKUU WA TBA AWATOA MCHECHETO WAKAZI WA MAGOMENI KOTE


Saudi Kondoro Mtendaji Mkuu wa TBA amesema nyumba za magomeni Kota zimekamilika wakati wote wakazi 644 waliokuwa wanaishi kwenye nyumba hizi watakabidhiwa .

Habari picha na Ally Thabiti

WAKALA WA MAJENGO WAPONGEZWA


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Aisha Amur Amewapongeza WAKALA WA MAJENGO Kwa  kukamilosha ujenzi wa nyumba za magomeni Kota Kwa wakati ivyo amewataka wakazi 644 wawe wavumilivu kwani nyumba zao watakabidhiwa karibuni.

Habari picha na Ally Thabiti

MKURUGENZI WA KIGAMBONI AWA NA MATUMAINI NA TARURA


 Mkurugenzi wa Kigamboni amesema anamatumaini Makubwa na Tarura ndani ya Wilaya ya Kigamboni katika kuboreha na kuimarisha barabara za Kigamboni kwani yangu Tarura ifanye kazi Kigamboni mafanikio yanaonekana .

Habari picha na Ally Thabiti

RSEARCH PROGRAM MANAGER ABAINISHA MIKAKATI


 Amani Kalokola Tinkasimile Research Program Manager wa Taasisi ya Africa Academy For Public Health amesema wameamuwa kuzinduwa Mpango Makati wa Miaka Mitano wa Chakula na Lishe Bora  Lengo nchi ya Tanzania iwe na vizazi Bora .

Amani amesema  wameweza kufanya kazi ya kuwajengea uwezo wakunga katika kunusulu vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua  amesema haya Serena hotel .

Habari picha na Ally Thabiti

MKURUGENZI WA MDH AGUSWA NA MAKUNDI MAALUM


 David Sando Mkurugenzi wa MDH amesema wanatoa elimu Kwa makundi rika na watu wanaojiusisha na ngono zembe Lengo wasipate maambukizi ya HIV David Sando amesema MDH inaamini kuwa  ukiyapatia elimu ya kutosha makundi maalum maambukizi ya HIV Kwa vijana wakike na wakiume pamoja na watoto yatapunguwa Kwa kiasi kikubwa. 

Amesema haya Serena hotel .

Habari picha na Ally Thabiti


KAHIMU MENEJA TARURA MKOA WA DSM AHAIDI MAKUBWA WANA KIGAMBONI


 Kahimu Meneja Tarura  Mkoa  Dsm Mwandisi Musa  amesema Tarura itaakikisha barabara za Wilaya ya Kigamboni zote zitapitika Lengo kukuza uchumi wa Watu wa Kigamboni . Ambako Dmdp imetenga Fedha kiasi cha bilioni 69 na Wilaya ya Kigamboni Kwa kupitia Tarura kiasi cha pesa kimetengwa bilioni 2.2 kwaajili ya ujenzi wa barabara.

Habari picha na Ally Thabiti

DIWANI WA MJI MWEMA AIPONGEZA TARURA


 Diwani Omary amesema  Tarura Wilaya ya Kigamboni imewza kutatuwa Changamoto za barabara Kwa kiwango cha kipekee  ivyo ameiomba Tarura waendelee kutengeneza barabara Kwa kiwango cha rami  na barabara za Mjimwema ziendelee kutengenezwa.

Habari picha na Ally Thabiti

TARURA YAJA NA MIKAKATI MIZITO WILAYA YA KIGAMBONI


 Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Fatma Nyangasa ameipongeza na kuishukuru Tarura Kwa kutatuwa changamoto za barabara kwenye Wilaya ya  Kigamboni kiasi cha bilioni 30 kinaitajika ili kuondoa changamoto za barabara kwenye Wilaya ya Kigamboni.

Ivyo amewataka Madiwani na Tarura Kujenga barabara zenye uhitaji mkubwa kwani Fedha zilizopo ni kidogo.. Mfano mwaka uliopita Wilaya ya Kigamboni ilitenga kiasi cha Fedha bilioni 2.2 na rais Samia Suluhu Hassan alitoa bilioni 1 ambako Fedha zote Tarura wamezitumia Kwa uaminifu Kwa ujenzi wa barabara za kiwango tofauti tofauti.

Habari picha na Ally Thabiti

PSPTB YATANGAZA VITA


 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wataalam wa Manunuzi na Ugavi (PSPTB) Godfred  amezitaka taasisi za serikali na binausi kutowatumia Wataalam wa Ugavi na Manunuzi ambao awajasajiliwa na (PSPTB) na amewataka Wataalam wa Ugavi na Manunuzi kujisajili na PSPTB.

Kwani wasipojisajili Kwa mujibu wa kifungu cha 11 na sheria ya 23 watahadhibiwa Kwa kutozwa faini ya milioni 3 na kwenda jera mwaka 1 au vyote Kwa pamoja Kwa  mwajili na mwajiliwa. Amesema haya wakati wa kutangaza matokeo ya mitihani ya mwaka 2019,2020 na 2021.

Habari picha na Ally Thabiti

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI ATOA NENO


 Godwin Ggondwe Mkuu waWilaya ya Kinondoni amewataka wanafunzi watunze madawati,madarasa na miundombinu yote yashule .pia amewataka Wazazi na Walezi kuwapeleka watoto wenye Ulemavu shuleni ili wapate elimu na waweze kujitegemea.

Amesema Fedha za UVIKO 19 zilizotolewa na rais Samia Suluhu Hassan ndani ya Wilaya ya Kinondoni zimetika Kujenga madarasa na miundombinu mbalimbali kwenye shule.

Habari picha na Ally Thabiti