Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Fatma Nyangasa ameipongeza na kuishukuru Tarura Kwa kutatuwa changamoto za barabara kwenye Wilaya ya Kigamboni kiasi cha bilioni 30 kinaitajika ili kuondoa changamoto za barabara kwenye Wilaya ya Kigamboni.
Ivyo amewataka Madiwani na Tarura Kujenga barabara zenye uhitaji mkubwa kwani Fedha zilizopo ni kidogo.. Mfano mwaka uliopita Wilaya ya Kigamboni ilitenga kiasi cha Fedha bilioni 2.2 na rais Samia Suluhu Hassan alitoa bilioni 1 ambako Fedha zote Tarura wamezitumia Kwa uaminifu Kwa ujenzi wa barabara za kiwango tofauti tofauti.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment