David Sando Mkurugenzi wa MDH amesema wanatoa elimu Kwa makundi rika na watu wanaojiusisha na ngono zembe Lengo wasipate maambukizi ya HIV David Sando amesema MDH inaamini kuwa ukiyapatia elimu ya kutosha makundi maalum maambukizi ya HIV Kwa vijana wakike na wakiume pamoja na watoto yatapunguwa Kwa kiasi kikubwa.
Amesema haya Serena hotel .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment