Diwani Omary amesema Tarura Wilaya ya Kigamboni imewza kutatuwa Changamoto za barabara Kwa kiwango cha kipekee ivyo ameiomba Tarura waendelee kutengeneza barabara Kwa kiwango cha rami na barabara za Mjimwema ziendelee kutengenezwa.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment