Mwenyekiti wa Chama cha ADC Amadi Rashid amewataka wabunge wa Tanzania bila kujali Chama na hitkadi zao wamchague Maimuna Saidi awe spika wa bungea jamuhuri ya tanzania kwani anafaa na ana sifa za kuwa spika wa bunge .
Ana Shahada ya Utawara Bora na Uongozi Kutoka chip kikuu cha Udom,mwenyekiti wa ADC amewataka watu kutunza na kujilinda Amani iliyopo nchini Tanzania .
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment