Tuesday, 25 January 2022

RAIS WA MAHAKAMA YA AFRICA MASHARIKI AFUNGUWA MAFUNZO

 Rais na Jaji wa Mahakama ya Africa Mashariki Nestor Kayobera amesema Lengo la kukutana na majaji wa tanzania kuweza kuwapa Mafunzo kuusu sheria za Africa Mashariki ivyo amesema Mafunzo haya yataleta chachu kubwa Kwa majaji wa tanzania kuzifaham na kuzielewa sheria za Africa Mashariki.

Nae Kwa upande wake THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA JUDICIARY OF TANZANIA HON.DR.GERALD A.M.NDIKA JUSTCE OF APPEAL amesema Mafunzo haya yamefika wakati muhafaka kwani majaji watanufaika Kwa kiasi kikubwa na yataweza kutatuwa mashauri ya Afrika Mashariki bila kikwazo.

Habari na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment