Mkurugenzi wa Mambo ya Nje Africa Mashariki na Ulaya Barozi Swahiba Mndeme amesema Safari walioenda wafanya biashara nchi ya Italy imekuwa yenye mafanikio makubwa .
Amewataka wafanya biashara wa kitanzania kuchangamkia fursa mbalimbali Lengo Kuongeza wigo mpana kwaajili ya kupata Masoko na wateja .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment