Wednesday, 9 February 2022

MKURUGENZI WA HUDUMA YA TIBA NA KINGA YA MIONZI ATOA NENO


 Mkurugenzi  Dr Crispin Karesa wa Huduma ya Tiba na Mionzi Taasisi ya Saratani Ocean Road amesema elimu ya Saratani iweze kuwafikia watu wenye Ulemavu kwani ni miongoni mwa makundi ambayo yanapata hathari ya Saratani  Kwa kiasi kikubwa lakini changamoto wanazokitana nazo kukosekana Kwa maandishi ya nukta nundu Kwa wasio Ona .

Ivyo ametoa rai Kwa wa wadau mbalimbali kushirikiana na serikali katika kuwafikia watu wenye Ulemavu ili wapate elimu bora na namna ya kujilinda na Saratani na jinsi ya kuchukuwa atuwa watakaogundulika na Saratani.

Dr Crispin Karesa amesema asilimia 34 ni Saratani ya shingo ya kizazi watu Ndio inayowasumbuwa Kwa kiasi kikubwa.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment