Monday, 14 February 2022

TASI YAIPONGEZA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII,JINSIA,WAZEE, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM


 Mjumbe wa TASI Wilaya ya Temeke Salehe  ameipongeza Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee,Watoto,Wanawake na Makundi Maalum Kwa kuja na Mpango wa matumizi ya Tehama Kwa viongozi wa serikali Kwa ngazi ya Chini kwani wananchi tutapata taarifa Kwa wakati na kufaam miradi ya serikali Kwa ngazi ya mitaa hadi Kata. 

Pia Tehama itasaidia watu kupata ajira na wajasiliamali kutangaza bidhaa zao.

Habari picha  na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment