Wednesday, 23 February 2022

WAZIRI MKUU AIPA TANO WIZARA YA MADINI

Waziri Mkuu Majaliwa kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Madini Kwa kuweza kutatuwa Changamoto za wachimbaji wa Madini na kuweka mazingira rafiki na wezeshi. Pia amewatoa hofu watu WA mabenk wawakopeshe wachimbaji wa Madini.

Nae Kwa upande wake Waziri wa Madini dr Dotto Biteko amewaakikishia wachimba Madini mazingira a uwekezaji ni rafiki Tanzania na changamoto zinazowakabili wachimbaji wa Madini zimefanyiwa kazi na zingine zinafanyiwa kazi.

Habari na Ally

No comments:

Post a Comment