Avi Postelnik Mkurugenzi wa AIE HOLDING LIMITED TZ amewataka watu wenye Ulemavu wajiunge kwenye miradi yake uko bagamoyo na maeneo mengineyo kwani watapata ajira .
Ametoa wito Kwa wawekezaji duniani kote wajitokeze Kwa wingi kwaajili ya kuwekeza tanzania kwani mazingira ni rafiki Kwa wawekezaji,pia amepongeza mkataba wa AFCFTA.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment