Arifu Mkurugenzi wa Tiba na Dawa Bakwata amewataka watu Kutoa michango mbalimbali ikiwemo damu ili kuokoa vifo vya mamawajawazito na wengine wenye uhitaji wa damu.
Ameipongeza rais Samia Suluhu Hassan Kwa uadilifu,uaminifu na utendaji wake nzuri wa kazi amewataka watu wamuunge mkono na kushirikiana nae bega Kwa bega .
Amesema haya wakati alitoa misaada mbalimbali Kwa wakina mama,watu wenye Ulemavu na makundi maalum ambako jumla ya vitu hivi vinathamaniya pesa ya kitanzania milioni 80.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment