Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Ggondwe ameipongeza kikosi cha Usalama barabarani jijini Dsm Kwa Kutoa elimu na Mafunzo ya kuzingatia na kutii sheria ,kanuni na taratibu za usalama barabarani Kwa madereva wote pamoja na watembea Kwa miguu.
Ameipongeza mwenyekiti wa bodaboda na bajaji wa Mkoa WA DSM Kwa juhudi na jitihada anazozifanya Kwa wanachama wake namna ya kutii sheria za usalama barabarani.
amesema changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda na bajaji serikali inazifanyia kazi amesema haya kilele cha kufunga week ya usalama barabarani Kama inavyoonekana pichani akikabidhi ZAWADI ya pikipiki Kwa time ya Temeke pile ambayo iliibuka kuwa washindi.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment