Monday, 28 February 2022

JESHI LA POLICI LAWATIA MBALONI WEZI WA MATANDAONI


 Mkuu wa  Jeshi la Police Kanda Maalum Dsm Kamanda Jumanne Mulilo amesema wamewakamata watu Kimi na mbili wakiwa na raini za simu za Aina mbalimbali na nyaraka tofauti tofauti pamoja na SIM ambako watuumiwaawa waliokuwa wanawaibia watu pesa Kwa kujifanya wao ni mawakala wa mitandao ya SIM .

Amewataka watu walioibiwa waende kituo cha ostabei police kwaajili ya taarifa mbalimbali pia Jeshi la Police limewakamata Wakongo Mani 2ambao waliiba kiasi cha Fedha za kimarekani Dola elfu tatu  na kompyuta mpakato nne pamoja na  ereni .

Kamanda Jumanne Mulilo amewatoa OFU wageni kuwa Dsm nishwari . Kwa upande mwingine Jeshi la Police limeokoa magari mawili yaliokuwa yameibiwa  

Na limemtial mbaloni Mkazi wa chamanzi Kwa kumpiga mtoto.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment