Monday, 14 February 2022

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA UWEKEZAJI,VIWANDA NA BIASHARA AIPONGEZA MPANGO WA AFCFTA


 Naibu Waziri wa Viwanda ,Biashara na UWEKEZAJI Exaud Silaoneka Kigahe (MB) amesema Mpango wa AFCFTA itasaidia Kwa kiasi kikubwa wafanyabiashara wa kitanzania kupata Masoko Kimataifa,  pia itaondoa vikwazo vya biashara Kwa nchi wanachama. 

 Kwani ajira zitaongezeka uchumi wa tanzania utakuwa Kwa Kasi Naibu Waziri ametoa wito mpango huu ufike kwenye sekta zote.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment