Mbunge Tumaimi Magessa amesema Katika Jimbo lake wataakikisha wanaweka mazingira wezeshi Kwa upande wa miundombinu ya barabara na umeme kwaajili ya wawekezaji wa Madini na wengineo.
Mbunge Tumaimi Magessa amewaakikishia wananchi wa Jimbo la Busanda Fedha zinazopatikana kwenye Madini zitaendelea kutatuwa changaoto
No comments:
Post a Comment