Lugano Wilson,LIC.(Eng.),Ph.D.(Energy) Mkurugenzi wa Maendeleo ya Viwanda. amesema falsafa ya KAIZEN inasaidia Kwa kiasi kikubwa kukuwa Kwa uchumi wa tanzania ,kwani mradi huu ulipoanza kutekelezwa nchini tanzania umewezesha sekta ya Viwanda kukuwa na ufanisi wa uzalishaji wa bidhaa kwenye Viwanda imekuwa wenye ubora .
Ivyo amelipongeza shirika la JICA Kwa kuja na falsafa hii nchini tanzania kwani imeleta mageuzi na Maendeleo ya Viwanda nchini tanzania, swala la kushirikisha makundi maalum wakiwemo watu wenye Ulemavu wa aina mbalimbali limezingatiwa katika falsafa ya KAIZEN.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment