Mwenyekiti wa Chama cha Wachimba Madini Tanzania (FEMATA) John Bina amesema wingi wa tozo imekuwa kilio Kwa wachimba Madini, ukosefu wa mitaji ,mabenk kuto waamini,ukosefu wa kisasa WA uchimbaji Madini.
John Bina ameipongeza Wizara ya Madini Kwa kuweza kutatuwa kelo za sekta ya Madini ambako zilikuwa21 na sasa zimebaki chache.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment