Jumanne Sagini Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani amewataka wanahabari wazingatie Uweredi wanapo andika na kutangaza habari za barabarani lengo kuelimisha Jamii namna ya matumizi Bora ya barabara na kuandika takkwimu sahihi. Ili kuepusha mkanganyiko na kuondoa Ofu Kwa jamii.
Ametoa wito Kwa watu wenye Ulemavu kutumia fimbo nyeupe na watu WA Dati kuendelea kuzingatia mazingira wezeshi na rafiki Kwa watu wenye Ulemavu. Pia swala la maandishi ya nukta nundu kwaajili ya watu wasio Ona Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Jumanne Sagini amesema amelibeba na atalifanyia kazi.
Habari na Ally Thabiti Mbungo
No comments:
Post a Comment