Monday, 28 February 2022

BI AISHA AITAKA JAMII KUBADILIKA


 Aisha Mtwangi Mtaalam wa Mawasilihano na Mwanaharakati wa ya Uzazi na Malezi Bora  amewataka watanzania na wasio watanzania kuzingatia Mafunzo ya vitabu vya dini zao ,Lengo kuondokana na ndoa za utotoni,kupinga vipigo Kwa Akina mama na kuzingatia Afya ya Uzazi.

Mwanaharakati Aisha Mtwangi amesema Malezi Bora ni muhimu kwani watu wataondokana na ukatoli mbalimbali .amewataka Wanawake wajiendeleze kimasomo ili wawe na mafanikio na Maendeleo.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment