Makamu wa rais Philip Mpango amewataka Wadau wa sekta ya Madini kutekelezwa takwa la kisheria la kutunza mazingira,kutowaajili watoto kwenye uchimbaji wa Madini , mabengi watoe mikopo Kwa wachimbaji Madini ,kujenga miundombinu na upatikanaji wa umeme.
Amewataka wawekezaji kwenye sekta ya Madini Kutoa ajira Kwa watanzania, Makamu wa rais amesema changamoto zinazowakabili wachimba Madini watazifanyia KAZI.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment