Dr Mariham Tambwe Muhadhiri wa Chio cha CBE na Mkufunzi wa KAIZEN amesema mradi wa KAIZEN umesaidia Kwa kiasi kikubwa katika uzalishaji viwandani .
ameiomba Serikali na JICA waweze kuvifikia Viwanda vingi Kwani Viwanda 137 vimefikiwa na mradi wa KAIZEN .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment