Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wataalam wa Manunuzi na Ugavi (PSPTB) Godfred amezitaka taasisi za serikali na binausi kutowatumia Wataalam wa Ugavi na Manunuzi ambao awajasajiliwa na (PSPTB) na amewataka Wataalam wa Ugavi na Manunuzi kujisajili na PSPTB.
Kwani wasipojisajili Kwa mujibu wa kifungu cha 11 na sheria ya 23 watahadhibiwa Kwa kutozwa faini ya milioni 3 na kwenda jera mwaka 1 au vyote Kwa pamoja Kwa mwajili na mwajiliwa. Amesema haya wakati wa kutangaza matokeo ya mitihani ya mwaka 2019,2020 na 2021.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment