Kahimu Meneja Tarura Mkoa Dsm Mwandisi Musa amesema Tarura itaakikisha barabara za Wilaya ya Kigamboni zote zitapitika Lengo kukuza uchumi wa Watu wa Kigamboni . Ambako Dmdp imetenga Fedha kiasi cha bilioni 69 na Wilaya ya Kigamboni Kwa kupitia Tarura kiasi cha pesa kimetengwa bilioni 2.2 kwaajili ya ujenzi wa barabara.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment