Waziri NAPE NAUYE amesema TTCL kusaini mkataba wa miaka 5 na nchi ya Buruni utakao dumu kwa miaka 5 wenye thaman ya shilingi Milioni Tatu nukta tatu (3.3) sawa na Shilingi Bilioni 8.3 ambapo kutaenda kudumisha ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi mbili (2). Amewaagiza TTCL kuakikisha BBS inapata huduma bora ili wapate kuendesha shughuli zao kwa uraisi, amewaomba Burundi kujitaidi hili kusaini mkataba wa kituo cha kutunzia data na kuimarisha sekta ya mawasiliano kwani Tanzania ipo tayari kuwahudumia Burundi na nchi zingine.
Mwandishi Peter Lwanga
amemshukuru Rais kwa kutufunguria fursa katika ukanda wa Afrika Mashariki pia
amewapongeza BBS kwa kukubari kushirikiana na Tanzania kupitia shirika la
mawasiliano Tanzania kwa kutumia huduma za mkongo wa Taifa ambakko leo
wamesaini mkataba wa Dola za Kimarekani Milioni 3.3 sawa na Bilioni 8.3 za
Kitanzania ambapo mktaba huu utadumu ndani ya miaka mitano (5) ameahidi TTCL
watawapa huduma bora. Kwani wanajivunia kuwa na uhusiano mzuri tangu mwaka
2019.
Shirika la mawasiliano
Tanzania lipo tayali kutoa huduma bora na iliyo kamilika ambapo wanaamini
ushirikiano huu utaimarisha uhusiano wa kindugu kati ya nchi zetu na kuchangia
maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wa Tanzania na Burundi. TTCL
itaendelea kutoa huduma bora na kuendelea kushirikiana na wadau mbalimbali
katika kukuza sekta ya mawasiliano nchini Tanzania. Haya yamesemwa na mwandishi
Peter Luanga kutoka TTCL.
Bw. Jeremie Diomende hageringwe mtendaji mkuu wa Burundi Backbone System – BBS na viongozi wa BBS kutoka Burundi mtendaji mkuu amewashukuru Marais wan chi mbili kwa ushirikiano uliopelekea kusaini mkataba wa miaka mitano (5) kwa Dolla za Kimarekani 3.3 sawa na shilingi za Kitanzania Bilioni 8.5 kwani itasaidia kufanya shughuri zao kwa wapesi na ufanisi kwani Burundi inafurahia kuunganishwa na mkongo wa Taifa wa Tanzania ambao utaenda kuleta mabadiliko kwenye sekta ya mawasiliano na Tecknolojia kuongeza ushirikiano wa kibiashara kwani hili tukio ni la kiistoria katika sekta ya mawasiliano.
Habari na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment