Rais wa Yanga Eng. Hersi Said amewataka wanachama kujisajili kwenye Benki ya NMB na kufungua Akaunti zao ambapo amesema Ada yake ni shiringi 1,000,000/= ya Kitanzania na mwaka mmoja ukiisha unaweza kuirenew kwa shilingi 25000/= ambapo ameelezea faida zake, kwanza Taasisi zote mbili zitanufaika
1) Jezi sita (6) kila msimu /na VIP Tiket 10 mechi ya nyumbani.
2) Punguzo hadi asilimia kumi ukifanya malipo ya kadi kwa QR.
3) VIP Lounge viwanja vya ndege vya kimataifa bure.
Hizi ndiyo faida ya kadi maalumu za wanachama wa Yanga.
Habari Picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment