Tuesday, 1 February 2022

NCCR MAGEUZI KUKATA RUFAA KWENYE KESI YA KIKATIBA


 Mwenyekiti wa Chama cha NCCR MAGEUZI amesema watakata rufaa juu ya kesi yao ya kikatiba Kwa kujiudhulu Spika wa Bunge Job Ndugai.

Habari picha na Ally Thabiti

 

SHEE MATAKA ATAKA MIFUMO KUTENDA HAKI


 Shee Mataka amesema Ili  Mauaji yasiwepo ni vyema mahakama kutenda haki pia Viongozi wa dini Waache kutumia dini sehemu ya kujipatia kipato, pia amewataka wananchi kutimiza wajibu wao.

Habari picha na Ally Thabiti

VIONGOZI WA KIDINI WAPAZA SAUTI JUU YA MAUAJI


 Padri Kisale amewataka Watanzania Waache Mala moja vitendo vya mauaji nchini Tanzania pia amewataka Viongozi wa Kidini Kutoka elimu Kwa jamii namna ya kudumisha na kulinda Amani na Uhuru wetu.

Habari picha na Ally Thabiti

SLIM ATAKA DIPLOMASIA YA UCHUMI IPEWE MKAZO


 Slim amezitaka Serikali ya Tanzania Iweke Mkazo Mkubwa na Kuongeza nguvu katika DIPLOMASIA ya uchumi kwani italeta tija kubwa katika kukuwa uchumi wa tanzania.

Habari picha na Ally Thabiti


SHARIFU AIPAISHA ZANZIBAR KIMATAIFA


 Sharifu Ziara walioenda Nchini Italy Wameweza Kuitangaza Zanzibar na wameweza kufanikisha kupata miradi miwili .

Habari picha na Ally Thabiti

SAEED A.BAKHRESSA AIPONGEZA WIZARA YA MAMBO YA NJE


 Saeed A. Bakhressa Project Director Union Property Developers ameipongeza Wizara ya Mambo ya Nje Kwa kuweza kuwatafutia fursa wafanya biashara wa kitanzania kwani wameweza kupata Masoko ya kuaminika nchini Italy Kwa ziara walioenda.

Habari picha na Ally Thabiti

SWAHIBA AWATAKA WAFANYA BIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA


 Mkurugenzi wa Mambo ya Nje Africa Mashariki na Ulaya Barozi Swahiba Mndeme amesema Safari walioenda wafanya biashara nchi ya Italy imekuwa yenye mafanikio makubwa .

Amewataka wafanya biashara wa kitanzania kuchangamkia fursa  mbalimbali Lengo Kuongeza wigo mpana kwaajili ya kupata Masoko na wateja .

Habari picha na Ally Thabiti