Tuesday, 1 February 2022

MWENYEKITI WA ACT WAZARENDO BABU JUMA DUNI HAJI KUMVAA RAIS SAMIA


 Babu Juma Duni  Haji Mwenyekiti wa Chama cha ACT WAZARENDO ambae amepata Kura 339 amesema Kwa nafasi aliopata ataakikisha anaona na rais wa Tanzania bara na wa Zanzibar Lengo kujadili namna ya kukuza na kuimarisha demokrasia hapa nchini.

Habari picha na Ally Thabiti

OTHMANI MASUDI OTHMANI AWATOA OFU WATANZANIA


 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazarendo OTHMANI MASUDI OTHMANI amesema utendaji wake wa   kazindani ya serikali ya Zanzibar kupitia JNU ni mkubwa na wenye ufanisi na umeleta mabadiliko makubwa katika Nyanja ya kiuchumi na kisiasa ndani ya mwaka mmoja tangu ateuliwe, amewataka wananchi kukiunga mkono Chama cha ACT WAZARENDO.

Habari picha na Ally Thabiti


NCCR MAGEUZI KUKATA RUFAA KWENYE KESI YA KIKATIBA


 Mwenyekiti wa Chama cha NCCR MAGEUZI amesema watakata rufaa juu ya kesi yao ya kikatiba Kwa kujiudhulu Spika wa Bunge Job Ndugai.

Habari picha na Ally Thabiti

 

SHEE MATAKA ATAKA MIFUMO KUTENDA HAKI


 Shee Mataka amesema Ili  Mauaji yasiwepo ni vyema mahakama kutenda haki pia Viongozi wa dini Waache kutumia dini sehemu ya kujipatia kipato, pia amewataka wananchi kutimiza wajibu wao.

Habari picha na Ally Thabiti

VIONGOZI WA KIDINI WAPAZA SAUTI JUU YA MAUAJI


 Padri Kisale amewataka Watanzania Waache Mala moja vitendo vya mauaji nchini Tanzania pia amewataka Viongozi wa Kidini Kutoka elimu Kwa jamii namna ya kudumisha na kulinda Amani na Uhuru wetu.

Habari picha na Ally Thabiti

SLIM ATAKA DIPLOMASIA YA UCHUMI IPEWE MKAZO


 Slim amezitaka Serikali ya Tanzania Iweke Mkazo Mkubwa na Kuongeza nguvu katika DIPLOMASIA ya uchumi kwani italeta tija kubwa katika kukuwa uchumi wa tanzania.

Habari picha na Ally Thabiti


SHARIFU AIPAISHA ZANZIBAR KIMATAIFA


 Sharifu Ziara walioenda Nchini Italy Wameweza Kuitangaza Zanzibar na wameweza kufanikisha kupata miradi miwili .

Habari picha na Ally Thabiti