Thursday, 31 January 2019
TBS YAWATANGAZIA KIAMA KIZITO WAFANYA BIASHARA
Afsamkaguzi wa udhibiti ubora wa chakula shirika la viwango nchini Tanzania Tbs BARAKA MBAJIJE amewataka wafanya biashara wa vyakula kutoingiza wala kusambaza vyakula vilivyo isha muda wake na visivyo na ubora watachukuliwa hatuwa kali za kisheria kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2009 kifungu cha 27 ambako mtu atatozwa pesa milioni 20 kwa kuingiza bidhaa isiyo na ubora nakifungu cha30 kwaatakaye sambaza vyakula visivyo na ubora atatozwa pesa kiasi cha milioni 50 au milioni 100 amesema haya wakati Tbs ikiteketeza vyakula vya aina 8 ikiwemo jibini,siagi, penati bata, dhabibu kavu,tomato ,chilisosi na vengine vyenye thamani ya shiringi milioni 57 kutoka Uturuki vimeteketezwa jijini dar es salaam dampo la pugu
habari picha na Victoria stanslaus
habari picha na Victoria stanslaus
Thursday, 19 July 2018
WAZIRI JAFO AIBUA MAZITO KWA WASHIKAMKIA
Waziri wa tamisemi mh Jafo Selemani Jafo amesema chanzo cha shule ya sekondari ya Jangwani kushika nafasi ya mwisho kwenye matokeo kidato cha sita ni walimu kutotimiza majukumu yao ikiwemo kuto andika notsi kwa wanafunzi kutofundisha kwa uweledi na wengine kwenda kufundisha shule binafsi hivyo amemuagiza mkuu wa wilaya ya ilala mama Sofia Mjema kutoa walimu hao na kuwaleta walimu wapya amesema haya alivyotembelea shule ya sekondari ya Jangwani jijini Dar es salaam
| wanafunzi wa shule ya Jagwani wakimsikiliza mh Jafo |
SERA YA MAADILI NDO MWAROBAINI KABAMBE KWA WATUMISHI
Mkuu wa wilaya ya kinondoni Mh Ali Hapi amesema sasa ni wakati muafaka kuanzishwa na kuwepo kwa sera ya taifa inayohusu maadili ili tupate sheria ambayo itawabana na kuhukumu viongozi na watumishi wa serikali ambao wanakiuka misingi ya maadili kwenye kazi zao amesema haya kwenye mkutano ulioandaliwa na tume ya maadili kwa viongozi wa umma katika ukumbi wa Anatogo jijini Dar es salaam
MAGIZO YA WAZIRI WA ELIMU ,SAYANSI NA TEKNOROJIA YA VUTA HISIA NZITO
Naibu makamu mkuu wa chuo cha SUA(utawala wa fedha) prof, Yonika Ngaja amesema maagizo yaliotolewa na waziri wa elimu wa sayansi na teknolojia prof Joyce Ndalichako ya vyuo vyote vifanye tafiti zenye kutatua matatizo ya jamii wamepokea na watatekeleza kwa vitendo pia vyuo ambavyo havijakidhi viwango na vigezo suala la kufutwa hatua vitachukuliwa kwa vyuo hivyo ilikupata wanafunzi bora na elimu bora kwa lengo la kuelekea Tanzania ya viwanda lifanikiwe kwa kiasi kikubwa kuweza kupata wataalam wengi na wenye ujuzi amesema hayo wakati wakutoa neno la shukrani kwa waziri wa elimu,sayansi na teknolojia prof Joyce Ndalichako wakatiwa kufungua maonyesho ya 13 ya vyuo vikuu ya siku nne kuanzia 18/07/2018 mpaka 20/07/2018 mnazi mmoja jijini Dar es salaam, habari picha na Ali Thabit
WADAU WA ASASI ZA KIRAIA, KISHERIA NA HAKI ZA BINADAMU WAKISHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE SERA MPYA
ASASI ZA KIRAIA WATAKIWA KUUNGA MKONO SERA MPYA
Ismail Abdunuru Sulemani katibu mkuu wa asasi za kiraia nchini Tanzania zisizo za kiserikali amezitaka asasi zote nchini kuunga mkono jitihada na juhudi za serikali katika kubadilisha sera za asasi za kiraia kwa kushiriki katika utoaji wa maoni kwa lengo la kuondoa sera ya mwaka 2001 kwa kuleta sera mpya kwaajili ya kuendana na wakati wa sasa amesema haya kwenye mkutano ulioandaliwa na kituo cha msaada wa kisheria na haki za binadamu LHRC uliofanyika sinza mori katika Wanyama hoteli jijini Dar es salaam.habari picha na Ali Thabit
Subscribe to:
Posts (Atom)