WANAHARAKA VIJANA WAPEWA MBINU
ELIZABETH JOSEPHAT, Ni mwanaharakati kijana KUTOKA TGNP MTANDAO amesema mafunzo aliyoyapata ya kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kupinga ukatili wa kijinsia atatumia vizuri. Nae LILIAN SECHELELA MADEGE Amesema anazidi kutoa elimu na mafunzo kwa wanaharakati vijana jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kufichua maswala ya kijinsia ametoa wito kwa vijana waache kutumia mitandao ya kijamii kwa kuweka picha za ngono amesema haya kwenye makao makuu ya TGNP MTANDAO MABIBO jijini DAR ES SALAAM
Habari picha na ALLY THABITI
Friday, 6 September 2019
Wednesday, 28 August 2019
MAKONDA AWATANGAZIA NEEMA WANAUME WALIOTOSWA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Sala PaulMakonda amesema anapeleka maombi bungeni kuwepo na Sheria ya wanaume ambao walioahidiwa na wapenzi wao kuwa wakiwanunulia magali au kuwajengea nyumba za kifahari watawaoa baada ya kufanyiwa hivyo hao wanawake wanachukuwa hizo mali na kukataa kuolewa na hao wanaume hivyo ameliomba Bunge la Tanzania kutunga Sheria Dhidi ya wanawake wenye tabia hizi lengo kukomesha na kuondoa utaperi wa namna hii.
Amesema haya Jiji Dar es Salaam kwenye Ofisi yake wakati akiongea na wanahabari.
Habari picha na Ally Thabith
Amesema haya Jiji Dar es Salaam kwenye Ofisi yake wakati akiongea na wanahabari.
Habari picha na Ally Thabith
BODI YA FILAMU YATANGAZA VITA KALI
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya filamu Dr. Kiagho amekamata CD ambazo hazina vibali na kutoa onyo kali kwa wote ambao wanasambaza CD ambazo hazina vibali kwani hatua kali zidi yao zitachukuliwa uku akisema kusambaza CD ambazo hazina vibali ni uhujumu uchumi kwani Serikali inapoteza mapato yake na uku wachache wakinufaika kama inavyoonekana pichani akiwa ameshikilia CD ambazo hazina vibali baada ya kubaini nakwenda kuzikamata. Ametoa wito kwa wananchi wa Wasanii wa Filam kutoa Taarifa pindi watakapo baini kuna watu hawalipi vibali vya CD kupitia bodi ya filamu.
Amesema haya Jiji Dar es Salaam kwenye ofisi ya bodi ya Filamu akiongea na wanahabari na akiambatana na viongozi wa Bodi ya Filamu.
Habari Picha na Ally Thabith
ELIMU SOLUTION YALETA CHACHU NA MAPINDUZI MAZITO SEKTA YA ELIMU
Meithani Swedi mkurugenzi wa Elimu Solution amesema wameamua kutoa Tuzo kwenye Sekta ya Elimu lengo kuwamasisha wanafunzi wasome kwa bidii na waweze kufaulu kwa kiwango kikubwa kwenye Mitihani yao, Pia kuleta muamko kwa walimu wawe Molali na Juhudi za kufundisha na kuletha hamasa kwa wadau mbalimbali kutoa michango yao kwenye Sekta ya Elimu.
Mkurugenzi wa Elimu Solution amesema washiriki zaidi ya 70 watawania Tuzo za Elimu Award Tarehe 31/08/2019 viwanja vya mlimani city. Ambako mgeni Rasmi atakuwa waziri wa Serikali za mitaa Selemani Jafu Mkurugenzi wa LEmu Solution wanafunzi wenye ulemavu na walimu watapa tuzo kwa Juhudi walizozifanya na ufaulu waliouonyesha kwenye Elimu pia kutakuwa na zawadi kwa wilaya iliyofanya vizuri. Watanzania, Afrika Mashariki na kati na Afrika kwa ujumla ni mala ya kwanza Tuzo za Elimu zinatolewa Tanzania na Afrika kwa Ujumla
Amesema haya jijini Dar es Salaam kwenye Hotel ya Selena
Habari Picha na Ally Thabith
CATHERINE AWATAKA WADAU KUUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKALI
Catherine Ndosi amewataka wadau mbalimbali wa muunge mkono Raisi Magufuli kwakuchangia Sekta ya Elimu Catherine Ndosi amewataka watanzania na wasio watanzania kujitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya mlimani city tarehe 31/08/2019 kwenye Elimu Awards ambazo tuzo hizi zitatolewa na Elimu Solution. Catherine Ndosi ameshukuru Kampuni ya ASAS, AZAM TV na COCACOLA kuwazamini na kufanikisha tuzo hizi,
Amesema haya jijini Dar es Salaam kwenye Hotel ya Selena.
Habari Picha na Ally Thabith
KAMPUNI YA ASAS YAIPA TANO TANZANIA ELIMU AWARDS
Abdul Twalib amesema wanaipongeza Taasisi ya Elimu Solution kwa kuandaa tuzo therasini na mbili kwa kategori 11 ambazo tuzo hizi zitatolewa tarehe 31/08/2019 katika ukumbi wa mlimani city.
Amesema kampuni ya ASAS inamiaka 19 katika biashara na usambazaji wa maziwa na bidhaa nyingine ambapo mpaka hivi sasa lita za maziwa laki tatu zimetolewa bure kwenye shule mbalimbali hapa nchini Tanzania na Kampuni ya ASAS lengo ni kuwafanya wanafunzi wapate Elimu bora na kuunga mkono juhudi za Rais magufuli kwakuelekea Tanzania ya Viwanda na uchumi wa kati.
Abdul Twalibu pichani akiwa kushoto ambaye ndio mzamini mkuu wa Elimu Awards kutoka kampuni ya ASAS amesema haya Jijini Dar es Salaam kwenye Hotel ya Selena.
Habari Picha na Ally Thabith
Tuesday, 20 August 2019
Subscribe to:
Posts (Atom)





