Friday, 6 September 2019

WANAHARAKATI VIJANA WAPEWA MBINU NZITO

                                        WANAHARAKA VIJANA WAPEWA MBINU

ELIZABETH JOSEPHAT, Ni mwanaharakati kijana  KUTOKA TGNP MTANDAO amesema mafunzo aliyoyapata ya kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kupinga ukatili wa kijinsia atatumia vizuri. Nae LILIAN SECHELELA MADEGE Amesema anazidi kutoa elimu na mafunzo kwa wanaharakati vijana jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kufichua maswala ya kijinsia ametoa wito kwa vijana waache kutumia mitandao ya kijamii kwa kuweka picha za ngono amesema haya kwenye makao makuu ya TGNP MTANDAO MABIBO jijini DAR ES SALAAM
Habari picha na ALLY THABITI  

No comments:

Post a Comment