Tuesday, 24 September 2019

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATETA NA WANAHARAKATI


Naibu Waziri wa Afya Faustin Ndungulile amewataka wanaharakati hapa Nchini Tanzania kutoa elimu na mafunzo kwa wanawake na vijana katika kujiinua kiuchumi ili waepukane na maswala ya ukatili wa kijinsia pia amesema selekali itaendelea kutatua changamoto zinazozikumba asasi za kilaiya na amezipongeza asasi za kilaia katika kupinga na kutoa elimu katika maswala ya kijinsia.

Amesema serikali ya Rais Magufuli imeamua kuto elimu bure lengo kusaidia familia maskini zipate elimu na serikali imefanikiwa kwa kiasi kikubwa ametoa wito kwa TGNP Mtandao kuwa wasikate tamaa na pindi wanapopata matatizo yeyote wasisite wizara ya Afya, Watoto, Maendeleo na Jinsia.

Habari Picha na
Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment