Wednesday, 25 September 2019

MKURUGENZI WA WOMEN FUND


Mama Merry Rusimbi mkurugenzi wa Women Fund amewataka watanzania kufuatilia haki zao ili waweze kunufaika na lasilimali zinazowazunguka huku akisema kuwa swala la matibabu bule kwa wazee ni haki ya kimsingi,

 Pia amewataka viongozi wa Serikali kuweza kutafasili mikataba kwa lugha ya kiswahili na mikataba mingine hiwe ya wazi ili watanzania wahishio pembezoni waweze kufahamu kinachoendelea na amehitaka jamii ya Kitanzaia kutokuwa wachoyo katika kutoa taarifa na ameiasa jamii kuwa na uwezo wa kuandika kwa umakini na kwa usahihi proposal mbalimbali

Amesema haya kwenye washa ya lasilimali  na maswala ya kiuchumi kwenye viwanja vya TGNP Mtandao Mabibo jijini Dar es Salaam wakati wa tamasha pla jinsia.

Hbari picha na
Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment