Wednesday, 25 September 2019
MIMBA ZA UTOTONI NI KIZUNGUMKUTI TANZANIA
Idd Rajabu Mzilai Mkurugenzi wa shirika la ustawi Rikabarehe amesema mimba za utotoni ni kwazo kikubwa cha maendeleo kwa Taifa na watoto pamoja na mabinti kwani pindi wanapopata mimba wanashindwa kuendelea na masoma na hatimae ndoto zao hufifia na kufa kabisa na wengine upoteza maisha wakati wa kujifungua hivyo shirika la Rikabarehe linatoa elimu na mafunzo jinsi ya kukabiliana na kuepuka kupata mimba kwa mabinti wakiwa na humri mdogo.
Amesema haya viwanja vya mabibo jijini Dar es Salaam katika tamasha la 14 TGNP Mtandao na maazimisho ya miaka 25 TGNP Mtandao
Habari Picha na
Victoria Stansislaus
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment