Friday, 27 September 2019

TGNP YAZINDUA MUONGOZO WA UWONGOZI


Kiongozi wa Women Fund kwa kushirikiana na TGNP Mtandao wamezindua kitabu ambacho kitakuwa kinafundisha maswala ya Uwongozi lengo kuongeza Idadi ya wanawake katika nafasi za uwongozi amesema haya kwenye viwanja vya TGNP Mtandao katika siku ya mwanamke wa Kiafrika.

Habari Picha na
Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment