Friday, 27 September 2019

PICHANI WANAHARAKATI WAKIWA NA SIRAHA NZITO ZIDI UKATILI


Pichani wanaharakati zaidi ya Elfu mbili kutoka mikoa mbalimbali na mataifa tofauti wakisherehekea kupatikana kwa hirani ya uchaguzi wamesema Irani hii itasaidia katika kuwa mwongozo wa uchaguzi.
Hapa wakioneka kwenye viwanja vya TGNP Mtandao jiji Dar es Salaam.

Habari Picha na
Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment