Tuesday, 24 September 2019
SPIKA WA BUNGE MSTAAFU ANENA MAZITO VIWANJA VYA TGNP MTANDAO
Mama Anna Makinda spika wa Bunge Mstaafu amewataka wanawake nchini Tanzania waache uwoga kugombania nafasi mbalimbali za uwongozi, Pia amewataka vijana wa kike kushiriki kimilifu kwenye masomo na kuwania nafasi kwenye uchaguzi lengo wawe na uwezo kutoa maamuzi na kupigania katika kutoa sheria kandamizi zidi ya wanawake.
Amesema haya jijini Dar es Salaam viwanja vya TGNP Mtandao Mabibo wakati wa kusherekea 25 ya TGNP Mtandao na mkutano mkuu wa Beigen Uliofanyika China na kusherekea tamasha jinsia lilotimiza miaka 14.
Habari picha na
Ally Thabiti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment