Aseri Mulo amesema wameamua kuzindua ilani ya uchaguzi ya TGNP Mtandao lengo wanasiasa, Serikali, Wananchi na Wanahabari pamoja na wanawake wote nchini waitumie katika kuchochea na kuhamasisha kushiriki wanawake uwe mkubwa katika kuwania nafasi za uwongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020
Aseli Muro amezitaka asasi na vyama vya siasa pamoja na serikali kutekeleza kwa vitendo hilani iliyozinduliwa na TGNP Mtandao. Pia amewataka wanawake hapa nchini kutuomia hilani hii kwani ndiyo siraha katika mapambano zidi ya mwanamke katika nafasi za uwongozi.
Habari picha na
Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment