Friday, 27 September 2019

WANAUME WALAANIWA VIKALI


Maulid Abubakari Mtarima Mkazi wa Tabora amewataka wanaume hapa Nchi Tanzania kuacha kuwakandamiza wanawake na amezitaka asasi za kiraia pamoja na serikali kuongeza juhudi za kuwapa fursa wanawake amesema haya viwanja vya TGNP Mtandao Mabibo wakati wa tamasha la jinsia la 14.

Habari picha na
Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment