Mkurugenzi wa TGNP Mtandao amepata tuzo ya uwongozi bora, Uwamasishaji na kuwatia moyo wafanya kazi wezake katika maswala ya kupinga ukatili wa kijinsia zidi ya wanawake na watoto kama anapoonekana katikati akiwa ameshika tuzo na kusherekea na wezake.
Katika kutimiza miaka 25 ya TGNP Mtandao na miaka 14 ya tamasha la kijinsia Mabibo jijini Dar es salaam.
Habari Picha na
Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment