Wednesday, 25 September 2019

WATANZANIA WATAKIWA KUUNGA MKONO TAASISI YA SOMA


Paulina George Kiabo mwasibu wa Taasisi ya soma amewataka wazazi na walezi hapa nchini Tanzania watoto wao waweze kuwapeleka kwenye taasisi ya Soma kwa ajili ya kusoma na kujifunza ambako mpaka sasa Taasisi ya Soma imetimiza miaka 11.

Amesema haya viwanja vya Mabibo jijini Dar es Salaam ambako amesema wanapatikana mikocheni A mtaa wa Rijenti nyumba namba sita na wanapatikana kupitia namba za simu 0673-014071.

Habari Picha na
Victoria Stansislaus

No comments:

Post a Comment