Tuesday, 24 September 2019

WADAU WA MAENDELEO WAWATOA HOFU TGNP MTANDAO


Balozi wa Sweden amesema kuwa wataendelea kuwaunga mkono TGNP Mtandao kwani wameweza kufanikisha kwa kiasi kikubwa katika maswala ya kupinga ukatili wa kijinsia nchini Tanzania amesema kwani TGNP wamesaidia Halmashauli hapa nchini Tanzania kuwapa elimu katika kujenga bajeti yenye mlengo wa kijinsia ambapo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa ndiyo maana ubalozi wa Sweden wataendelea kushilikiana na TGNP Mtandao.

Habali Picha na
Victoria Stansiraus

No comments:

Post a Comment