Friday, 27 September 2019

TGNP MATANDAO YAFUNGA TAMASHA LA KIJINSIA KWA KISHINDO KIZITO


Mkurugenzi wa TGNP Mtandao Liliani Liundi amesema tamasha la 14 la kijinsia limefana kwa kiwango kikubwa kwani wameweza kubadilisha mitazamo ya jamii kuondokana na mila na destuli potofu zidi ya mwanamke na kupunguza kwa kiwango kikubwa cha ukatili wa watoto nae mwakili wa serikali bwana mbilinyi ameipongeza TGNP kwa kupiga hatua kwenye tamsha 14 la kijinsia na kutimiza miaka 25 kwani wameweza kusaidia kwa ndoa za utotoni, Mimba za utotoni na ukatili wa kijinsia zidi ya mwanamke. Pia bwana Mbilinyi TGNP Mtandao wameweza kufanikiwa kuzindua kitabu cha kiongozi mwanamke na ilani ya uchaguzi ambako amesema serikali itachukua hilani hii na kuifanyia kazi.

Hamesema haya wakati wa kuitimisha tamasha la kijinsi la 14 kwa mwaka 2019 na lingine litafanyika mwaka 2021.

Habari picha na
Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment