Wednesday, 25 September 2019

WANAWAKE WATAKIWA KUPAZA SAUTI


Doris Kafuku ni mwana sheria amewataka wanawake kuchukua hatua za kisheria pindi wanapopolwa mari zao. amesema haya viwanja wa TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam katika tamasha la 14 la kijinsia.

Habari Picha na
Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment