Tuesday, 24 September 2019

WAZIRI MKUU MSTAAFU SINDE WARIOBA ATOA NENO MAAZIMISHO YA MIAKA 25 YA TGNP MTANDAO


Waziri mkuu mstaafu JOSEFU SINDE WARIOBA  amewataka wanawake kushiriki kugombea nafasi za uongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu wa 2020 waachane na dhana potofu ya kusubiri nafasi za kuteuliwa pia amewapongeza wanawake walivyoshiriki kikamilifu kwenye rasimu ya katiba mpya na amepongeza uongozi TGNP mtandao kwa kuwajengea uwezo wanawake na wanaume kwa kupinga ukatili wa kijinsia amesema aya jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya TGNP mabibo wakati wa uzinduzi wa tamasha la kijinsia ambalo lilikuwa linatimiza miaka 14 na TGNP ikitimiza miaka 25 tangu  kuanzishwa

habari picha na
Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment